TANGAZO
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema amesema leo watafanya operesheni  ya kuwaondoa wafanyabiashara wadogo wanaopanga bidhaa zao kando ya barabara za Mabasi Yaendayo kwa Haraka  (Dart).Operesheni hiyo itawahusu wote wanaofanya biashara eneo la Kariakoo Gerezani, Msimbazi, Ikulu kuelekea Soko la Feri na Shule ya Uhuru Mchanganyiko.

Mjema alisema wafanyabiashara hao wanatumia maeneo ambayo pia ni hatari kwa maisha yao kwa kuwa gari likikosea njia linaweza kuwagonga.

Alisema wengine kwa makusudi, huamua kutoa bidhaa zao sokoni na kuzipanga kando mwa barabara kwa madai ya kuwafuata wateja.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top