Msanii Loveb Yuda kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Uganda anatarajia kuachia ngoma yake mpya akishirikiana na Baudeni Sina deni kutoka katika kundi la Kiroberi.

Baudeni baada ya kufanya vizuri nchini alijielekeza nchini Uganda kikazi zaidi na kwasasa amerudi tena studio kwa mara nyingine tena.
Wakali hawo wawili wanatarajia kuachi bonge la ngoma itakayo kuja kwajina la Katono pande za African Studio On Beats nchini Uganda.

Tuwakumbushe kuwa Dr Loveb Yuda alihifungukia africanmishe kuwa mashabiki wasubiri mambo mazuri kutoka kwake mwishoni mwa mwaka na mwaka wa 2017 itakuwa ni mwaka wa mabadiliko kwa kugonga nyoyo za mashabiki zawo huku akisisitiza kuwa ngoma la Katono itapatikana kwenye mishe mishe baada ya wiki moja tu.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top