TANGAZO
Tarehe kama ya leo 10 November mwaka mmoja uliopita alaizaliwa mtoto wa kwanza wa msani Kebby Boy hit maker wa ''Dodo''.
Kebby Boy na Princess Chidu
Msani huu ametumia dakika chache kuandika ujumbe huu kwa mtoto wake Princess Chidu kwenye birthday yake kupitia instagram.

''Happy 1st birthday to mboni ake@kimmy_santoo #PrincessChidumebi πŸ‘‘πŸ‘‘my God guide and protect her all the way. We love you. πŸŽ‚πŸŽπŸŽˆπŸŽ‰πŸŽŠ''


Segunde chache tu mama wa mtoto Model Kimmy Santo alicoment post hiyo na kusema :

''Thank u p akeeee 😍😘😘πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ πŸŽ‰πŸŽ she loves u more''


Na akaongezea hili kupitia akaunti yake ya instagram : 


''Happy 1st birthday πŸŽŠπŸŽ‰πŸŽŠπŸŽ‰to my precious πŸ‘‘chidumebi πŸ‘‘ you absolutely melt hearts with your adorable 1-year-old smile and cute amazing personality!!! You are too cuteπŸ’πŸ» too sweet✋🏻and too fun πŸŽ‰πŸŽŠ you're just PERFECT πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜...Cute is an understatement ✔πŸ’― you are stinking cute ✔πŸ’―♥ !!!! may God always have his angels watching and protecting you my precious #princesschidumebi momma simply adore &love you πŸ’žπŸ’“πŸ’žπŸ’“''


Model Kimmy Santoo
Mastaa wa muziki na Models wengi wamemtakiwa mtoto huyu kila la kheri kwenye Birthday yake na team nzima ya Africanmishe.com inamtakia maisha marefu Princess Chidu.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top