Kocha Mkuu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa ataja majina ya nyota 24 watakayoivaa Zimbabwe November 13

Kocha Mkuu wa Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania (Taifa Stars), Charles Boniface Mkwasa ametaja majina ya nyota 24 watakaounda kikosi ambacho kitasafiri wiki ijayo kwenda Harare, Zimbabwe kucheza na wenyeji kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika Novemba 13, mwaka huu.
morocomkwasa
Mkwasa amesema wachezaji aliowaita wataingia kambini baada ya michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya mwishoni mwa wiki hii ambako itakuwa funga dimba la duru la kwanza la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2016/17.
Nyota wa Stars walioitwa na Mkwasa ni:
Makipa
Deogratius Munishi –Young Africans
Said Kipao –JKT Ruvu
Aishi Manula –Azam FC
Mabeki
Erasto Nyoni -Azam FC
Michael Aidan -JKT Ruvu
Mwinyi Haji -Young Africans
Mohamed Hussein –Simba SC
David Mwantika -Azam FC
James Josephat –Tanzania Prisons
Vicent Andrew -Young Africans
Viungo wa Kati
Himid Mao -Azam FC
Mohammed Ibrahim –Simba SC
Jonas Mkude –Simba SC
Muzamiru Yassin –Simba SC
Viungo wa Pembeni
Abdulrahman Mussa -Ruvu Shooting
Shiza Kichuy –Simba SC
Simon Msuva -Young Africans
Jamal Mnyate –Simba
Washambuliaji
Ibrahim Ajib –Simba SC
John Bocco -Azam FC
Mbwana Samatta -K.R.C Genk ya Ubelgiji
Elius Maguli –Oman
Thomas Ulimwengu –Mchezaji huru
Omar Mponda -Ndanda
Powered by Blogger.