Jimbo la California lataka kujiondoa kutoka Marekani.
Baada ya matokeo kubainika na Donald Trump kutangazwa kuwa rais wa Marekani ,California ambalo ni jimbo lenye wafuasi wa chama cha Democrats cha Hillary Cliton kimeripotiwa kutaka kujiondoa kama mojawapo ya majimbo nchini Marekani.
Kupitia mitandao ya kijamii wakaazi wa jimbo la Carlifornia wameanzisha kampeni huku katika mtandao wa Twitter kampeni kwa kauli mbiu #CalExit kuanzishwa .Jimbo la California kujiondoa kutoka Marekani

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top