Je Black G bado anaiwakilisha WCB nchini Burundi?

Mkali wa R&B nchini Burundi Black G a.k.a Africano ambae ivi punde amejinyakulia kitita cha pesa baada tu ya kusaini mkataba wa mwaka mzima na kampuni ya mtandao wa simu SMART Burundi.
Staa huu yupo kimya sanaa kwenye saana ya muziki nchini humo.Africanmishe alibidi imtafute ili kujua kipi kinacho endelea.
Alipo ulizwa kuhusu ukimya kwenye game la muziki,Black G alisema:''Bado nilikua ninamambo makubwa nafyatilia kuhusu kazi zangu na kurekebisha mambo flani ili industry yangu ya muziki ikae vizuri zaidi''.

Vipi mbona hatusikii kipya kulikoni?''Hahahaha nyimbo mpya zipo nyingi tu ila bado nasubiri muda wake ufike ili niweke hazarani;nina nyimbo tatu tayari zimekwisha(I'm sorry,Till i die na sivyiza),ivi punde nitaachia mbili ''I'm sorry na Till i die'' ila Sivyiza nitaichia na Video na punde nitaanza kushoot ili niiachie mwishoni mwa mwaka huu''.Aliongeza hilo Black Africano.
Alipohojiwa kama bado anaiwakilisha WCB ,Black G alisema:''Ndio tulikua tunaiwakilisha Wasafi Classic Baby(WCB) nchini Burundi mimi na Q Boy ambae ni hit maker kwasasa na kibao chake Mugacherere alichoshirikiana na Rayvany na Sheta,ila kwasasa mimi nikama tu sipo WCB''.
Je kipi kilikutoa WCB ? ''Bado najiandaa na mambo mengi ya kazi zangu ikifika muda wake nitawambia kipi kinacho endelea kuhusu mimi na WCB.''Alimalizia kwa hilo Black G.

Itaendelea....Powered by Blogger.