Msanii Cypro Light mkali wa "Vuga Yes" aliomshirikisha Lolilo wote  kutoka Burundi, mitandao mingi ya kijamii imeejaa habari za msanii huyu nakusema kuwa amekuwa chizi baada ya kuonekana  akivaa mavazi ambavyo havilingani na mtu mwenye akili timamu.
Pengine ni style mpya ya msanii huyo huku tumejaribu kumtafuta bila mafanikio, tumetaka  kufahamu zaidi kuhusu stori hiyo, tumejaribu kumpigia simu lakini matokeo yake ilipokelewa na dereva wa boda boda na hata alichokiongea kilionekana kutokuleta maana yoyote.
Kitendo hicho cha Cypro Light kimeladhimu baadhi ya watu na mitandao kuhitimisha kuwa amechizika.
Bado uchunguzi unaendelea endapo  habari za uchizi wa Cypro Liight ni ukweli ao la, kutokana na hivi karibuni  kuonekana akifanya vitendo ambavyo havilingani na mtu mwenye akili timamu.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top