Exclusive:Sikiliza Rapper B-Face alivyo urudilia wimbo wa Kidumu ''MUSHOMA''

Sio jambo la kawaida kushuhudia msani wa Hip Hop kuurudilia wimbo wa R&B kirahisi kama alivyo fanya rapper B-Face On Flow.
Hit maker huu wa kibao ''Music'',anazidi kufanya vizuri kwenye saana hii ya muziki nchini Burundi.
Ivi punde B-Face amewa surprise mashabiki na wapenzi wa muziki afrika mashariki baada tu ya kuzirudilia nyimbo kaza za R&B pakiwemo na ya msani wa Afrika mashariki Kidumu .
B-Face ameurudilia wimbo wake Kidumu uitwao ''Mushoma'',kwasasa B-Face ameonekana kama msani mwenye kipaji chakipekee nchini Burundi.

Isikilize hapa : Mushoma by B-Face |Kidumu Cover|
Powered by Blogger.