Video: Sandra (Girlfriend wa Nisher) aja na Make Up Session

sandy

Nisher ana silaha mpya – kamera yenye thamani ya $15,000! Kwa bei hiyo ubora wa video zinazotoka ni balaa

Katika kuonesha kuwa amekuja na vitu tofauti, muongozaji huyo wa
video za muziki mwenye makazi yake jijini Arusha, anatayarisha mfululizo
uitwao ‘Make Up Session’ unaofanywa na girlfriend wake, Sandra aka
SysherX.


Kwenye mfululizo huo unaopatikana YouTube, Sandra anaongelea masuala
mbalimbali ya urembo hasa kujipamba uso kwa akinadada. Jionee hapo juu.

Powered by Blogger.