Video [Jay T _ Me Love You (Behind the Scene)]Download.mp4


Tazama Utengenezwaji wa video ya Jay T  "Me Love You", msani kutoka Burundi  amekuletea behind the scene ya video yake mpya ya " Me Love You"
 
Kwenye Behind the scene Jay T anaelezea ilikuaje hadi akaamua kufanya video nzuri tofauti na awali, kuwashirikisha wa chezaji mahiri  na kaleta changamoto zinazojitokeza wakati wa kushoot video.
  Jay T, amesema kuwa video ya nyimbo Me Love You itaachiwa  ivi karibuni

Tazama Utengenezwaji wa Video ya T Jay 'Me Love You'
Powered by Blogger.