VIDEO : Inter Star vs Muzinga [Goli la Nkurikiye Leopold Kaya dhidi ya Inter Star (penalti)]download.mp4

Mechi kati ya Inter Star dhidi ya Muzinga imesisimua kwa haina yake huku timu zote zikijaribu kufanya vizuri baada ya kupoteza mechi za wiki iliyo pita. Muzinga imeanza kupata goli la penalti  kipindi cha kwanza kupitia mchezaji Nkurikiye Leopold Kaya aliye kuwa mchezaji wa zamani wa Vitalo. Baada ya kumiliki mpira kiasi kikubwa Inter Star imekuja juu na kufanikisha kusawazisha goli nzuri la shuti kipindi cha kwanza kupitia mchezaji Nduwimana Idi. katika kipindi cha pili timu zote zimeshindwa kuona lango huku mechi iememalizika kwa sare ya moja moja.
Powered by Blogger.