Vanessa mdee ambaye pia ali pafomu Mombassa ametaja sababu
iliyosababisha Ali Kiba kuzimiwa mic ni kuwa Chris Brown aliingia akiwa
hana mood nzuri, kwa hivyo ili kumfurahisha wale waandaji ikabidi
wakatishe shoo ya Ali Kiba wampe muda wa kupanda jukwaani atakapojisikia
yeye

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top