Usafirishaji mafuta kuitia hasara Kenya
Asasi
hiyo ya Jukwaa la Jamii ya Kenya kuhusiana na rasilimali za Mafuta na
Gesi, imesema katika ripoti yake hiyo kuwa mpango huo unazua maswali
mengi ikizingatiwa hali ya bei ya mafuta ghafi ya sasa katika soko la
dunia.
Ripoti ya ripoti hiyo iliyotolewa jana imesema kusafirisha mafuta ghafi kwa barabara kwa umbali wa kilomita 800 ni gharama kubwa na kutachangia kupatikana kwa hasara kubwa, ambayo ingeweza kuokolewa kwa kujengwa miundombinu stahiki kama bomba la mafuta.