Top 10 : Washambuliaji bora 10 wa Afrika katika Historia


Mabalozi wanao wakilisha bara la Afrika duniani, majina zao zimesikika mahali pote duniani na kuwa wafalme wa soka kwenye nchi zao. Ni vigumu kulinganisha wachezaji wasasa na wazamani ila gazeti la Eurosport imeingia kwenye zoezi  na kufanya TOP 10 ya washambuliaji bora wa Afrika katika Historia.

Kwenye orodha hii kama kawaida mshambuliaji wa zamani wa Barcelona raia wa Cameroon, Samuel Eto'o anaongoza kama mshambuliaji bora katika historia mbele ya George Weah mshindi wa mpira wa dhahabu 1995, Rogger Milla na Didier Drogba.

Hii ndio orodha ya washambuliaji bora wa Afrika katika Historia ya Soka kwa mjibu wa Eurosport :

1) Samuel Eto’o (Cameroun)
2) George Weah (Liberia)
3) Didier Drogba (Côte d’Ivoire)
4) Roger Milla (Cameroun)
5) Salif Keïta (Mali)
6) Rabah Madjer (Algerie)
7) Larbi Benbarek (Maroc)
8) Nwankwo Kanu (Nigeria)
9) Rashidi Yekini (Nigeria)
10) Hossam Hassan (Egypte
Powered by Blogger.