Tizama picha ya mechi kati ya Vitalo na Atletico Olympic 1-1


Katika wiki ya 4 ya Ligi kuu Primus League Burundi mechi kati ya Vitalo wabingwa watetezi dhidi ya Atletico Olympic , timu zote mbili zimeridhika kwenda sare  ya moja moja huku Vitalo ikibahatika kupata goli la kwanza msimu huu baada ya mechi nne kupitia mchezaji wake Pascal kwenye dakika moja kipindi cha kwanza.
Powered by Blogger.