Team Inzuki imeingia kwenye mashindano ya Next Rated Awards ya Kenya

Arobazz akikabidhiwa tiketi za mashabiki ZAKE
Kundi nzima ya Team Inzuki akiwemo msanii Arobazz kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Kenya, imeingia katika mashindano ya Next Rated Awards ya Kenya, mashindano ayo itaudhuriwa na wasani kutoka nchi nyingi za Afrika kama Tanzania, DR Congo, Rwanda, Uganda, Nigeria na wenyeji Kenya.

Arobazz ambaye ni msani kutoka Burundi atawakilisha katika kundi la Team Inzuki katika kipengele cha Best Group na mshindi wa tuzo hiyo atapewa fursa ya kujielekeza nchini Nigeria kurikodi audio na video pia ataruhusiwa kufanya collabo na msani anaye mpenda.

Tuwumbushe kuwa mashindano ya Next Rated Awards itaanza wiki ijayo Novemba 05, kiingilio ni shilingi 500 na hii itakuwa mara ya kwanza msanii kutoka Burundi kushiriki katika mashindan hayo nchini Kenya.

EBU CHUKUWA TIME USIKILIZE MOJA YA  KAZI YA AROBAZZ AKISHIRIKIANA NA BLACK G
Powered by Blogger.