Ratiba kamili ya wiki ya 7 ya Ligi kuu Primus League Burundi


Wiki hii Ligi kuu ya Primus league Burundi itaingia kwenye wiki yake ya 7 huku kuna mechi za kusisimua kati ya timu babe zote za Bujumbura, ni pamoja na Atletico Olympic baada ya kufanya vibaya wiki iliyo pita imepangwa kukutana na Inter Star saa nane kwenye uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore pia hapo saa kumi wabingwa watetezi Vitalo itapambana dhidi ya LLB ikiwa kileleni kwa mda.

Ratiba wiki ya 7/ Jumaa-tano 19/10/2016 : 

Centre Technique National / Bujumbura :

- Saa nane : Magara star - Ngozi city
- Saa kumi : Les lierres - Buja city
 
Uwanja wa Mwanamfalme Louis Rwagasore :

- Saa nane : Athletico olympic - Inter star
- Saa kumi : Vital"o FC - LLB
 
Muyinga / Saa tisa :

- Olympic star - Messager Bujumbura
 
Gitega :

- Musongati vs Muzinga
 
Ngozi :

- Messager Ngozi - Aigle noir
 
Cibitoke :

- Rusizi - Flambeau de l"Est
Powered by Blogger.