meek-mill-bb23-2015-billboard-03-650
Tukio hilo limetokea usiku wa Jumatatu hii huku chanzo cha kufuta akaunti hiyo bado hakijajulikana. Baadhi ya mashabiki wamedai kuwa hiyo ni kiki ya kutaka kuteka vichwa vya habari kwa kuwa hivi karibuni anatarajiwa kuachia mixtape yake ya Dreamchasers 4 (DC4).
Wapo wanaodai kuwa ameamua kufanya hivyo kwa ajili ya kujiweka mbali na mitandao ya kijamii kutokana na hivi karibuni amekuwa akitupiana matusi na maneno ya kishfa na baadhi ya watu akiwemo The Game kwenye mtandao huo.Hii si mara ya kwanza kwa rapper huyo kufanya uamuzi kama huo – aliwahi kufuta akaunti yake ya Twitter.

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top