Rapper Country Boy ameahidi kuwa mwakani atafanya mambo makubwa ikiwemo kuleta tuzo ya kimataifa.

Rapper Country Boy ameahidi kuwa mwakani atafanya mambo makubwa ikiwemo kuleta tuzo ya kimataifa.

Ametoa ahadi hiyo wakati akizungumza na mtangazaji wa Kings FM, Prince Ramalove. “Inshallah tuombe Mungu na ntakuja kuwaprove kwa hii ngoma ambayo inakuja, ntakuja kuiachia,” amesema.

“Ni ngoma ambayo kubwa sana, ni ngoma ambayo inaweza ikapenetrate Afrika nzima, Nigeria, South Africa, Angola, Senegal, Marekani tutafika kote huko,” ameongeza.
Powered by Blogger.