Tazama picha mbalimbali za Mazishi ya aliyekuwa mkewe Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Jackson Benty.

Pichani ya Marehemu Winnie Jackson Benty enzi za uhai wake,Alizaliwa mwaka 1985 mkoani Tanga,Alifariki Tar 8/10/2016 kwa ajali Jijini Arusha,ameacha watoto wawili wote wa kiume Ibada ya mazishi ni mchungaji Bryson Lema kutoka makao makuu ya Huduma ya Ufufuo na uzima Dar-es-salaam.
Nyumbani kwa Jackson Benty Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania(hayupo pichani)
Waombolezaji kuitoka maeneo mbalimbali ndani na nje nya nchi wakiwa nyumbani kwa Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Jackson Benty.

Powered by Blogger.