Picha ya mechi kati ya Inter Star dhidi ya Magara Star 1-0


Katika wiki ya 4 ya ligi kuu primus League timu ya Inter Star imeridhika kupata ushindi wa bao moja bila dhidi ya Magara Star kwenye uwanja wa CTN mjini Bujumbura na kufanikisha kukamilisha pointi 12 katika mechi 4.

Powered by Blogger.