Picha: Rapper wa Kenya, King Kaka akamatwa na polisi mjini Nairobi

Jumanne hii imekuwa mbaya kwa rapper wa Kenya, King Kaka aka Kaka Sungura baada ya kujikuta akiangukia mikononi mwa polisi wa mjini Nairobi.
4
Mpaka sasa bado haijajulikana chanzo cha kukamatwa kwa rapper huyo. Tazama picha zaidi hapa chini.
7
3
Powered by Blogger.