Picha: Rambo amtembelea Manny Pacquiao kwenye kambi yake

Muigizaji wa Marekani, Sylvester Stallone maarufu kwa jina la Rambo amemtembelea bondia Manny Pacquiao kwenye kambi yake ya Wild Card gym ya Hollywood .
39dbf2bf00000578-3886292-manny_pacquiao_posted_a_picture_of_him_with_legendary_rocky_figh-m-60_1477787664354
Pacquiao yupo nchini Marekani kwa ajili ya pambano lake na bondia Jessie Vargas la WBO uzito wa welterweight ambalo lifanyika Novemba 5 ya mwaka huu mjini Las Vegas.
Powered by Blogger.