responsive ads

Picha: Alikiba atua Afrika Kusini kwaajili ya MTV MAMA

Hitmaker wa ‘Aje’, Alikiba ametua nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki kwenye utoaji tuzo za MTV MAMA akiwa na kiongozi wake wa Rockstar4000, Seven Mosha, meneja wake anayetambulika kwa jina la Aidan pamoja na Barakah The Prince.
alikiba-2
Alikiba ni miongoni kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo hizo Jumamosi hii ya Oktoba 22 mjini Johannesburg, Afrika Kusini lakini pia anawania tuzo ya ‘Best Collaboration’ ya wimbo wa Unconditionally Bae alioshirikiana na Sauti Sol. Tazama baadhi ya picha hapa chini.
alikiba-4
middle 300x250
Powered by Blogger.