,,
Muimbaji wa Taarabu maarufu Afrika Mashariki kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Canada, Papa Fololo ameachia video yake hii kwa mara ya kwanza kupatikana kwenye tovuti yenu ya Afrikan Mishe.

Tumewasogezeeni video hii nzuri itwayo Msaliti ya kwake Papa Fololo  endapo nawe utapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top