Mwanamuziki wa kike kutoka Burundi, Pamy Queen azidi kupata sifa nyingi kwenye muziki wa Burundi Flava baada tu ya kurudilia nyimbo Signorita ya staa Bienv Fizzo Freema, kwasasa azidi kupata ongera pande zote.

Mwanadada huyo mrembo ambaye amerudilia Signorita ya Bienv Fizzo huku wengi wakiipongeza kazi hiyo kuwa ni nzuri sana, staa Bienv Fizzo ameamua kumuunga mkono na kumuhaidi Pamy Queen collabo moja na video clip ya nyimbo Signorita.

Bienv Fizzo amekubali kumsaidi Pamy kwenye katika masuala ya pesa ya kuingia studio ata ku shoot video ya nyimbo Signorita na kufanya naye collabo moja, kwa kuirudilia nyimbo hiyo Signorita ya Bienv Fizzo, Pamy Queen amepata ofa ya kushirikiana na Bienv Fizzo kwenye nyimbo moja na ku shoot video moja bure.

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top