Ofisi ya hifadhi ya Serengeti yateketea kwa moto

Ofisi ya Makao Makuu ya hifadhi ya taifa ya Serengeti iliyopo maeneo ya Fort Ikoma imeteketea kwa moto Jumamosi hii ya Oktoba 8.
www
Moto huo umedaiwa kuanzia kwenye ofisi ya tiba ya wanyamapori na kusambaa kwenye ofisi nyingine huku mpaka sasa chanzo cha moto huo kikiwa hakijajulikana wala hasara ya mali zilizoungua zikiwa bado haijafahamika pia.
Powered by Blogger.