Muimba taarabu mahiri kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Canada, Papa Fololo ameachia video clip yake ya nyimbo itwayeo Mama Nihurumie.

Tumewasogezeni hapa taarabu nzuri sana kutoka kwa muimba taarabu maarufu afrika mashariki Papa Fololo

endapo nawe utapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top