Mwana hip hop kutoka Burundi mwenye makazi yake nchini Uganda, Love-B Yuda ameachia video clip mpya ya nyimbo yake itwayo Igitabo Cinzira (Kitabo cha njia) akimaanisha kuwa katika maisha ukifanikiwa kupata kitambulisha ao passport ya maisha yako basi upo huru sehemu yote huku akidai kuwa tayari amekwisha pata kitambulisha ya kazi yake ya muziki kama anavyozungumzia kwenye video hii. 


Endapo nawe utapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +275 75707305

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top