Baada yakuzijenga headlines nyingi kupitia video ya kibao chake''Africa'',Ashley Diva ameachia video nyingine ya wimbo wake ''Siku Mbili''.
Mkali huu wa miondoka ya Afro Pop bado anazidi kuwashangaza mashabiki wa muziki barani afrika kwa kubadilika badilika kwenye style zake za muziki, ''siku mbili '' imekuja kwa miondoko ya Reggae         music.                               
Video hii imetengenezwa na Director Kent P ndani ya Kora Entertainment.

                                                    

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top