qboy
Msanii Qboy Msafi kutoka WCB ameachia video yake mpya wimbo unaitwa
“Mugacherere”, amewashirikisha Rayvanny na Shetta. Video Imefanyika
Johannesburg, South Africa na imeongozwa na Nicorux...na kama na wewe ni msanii na kazi yako unapenda ionekane apa wasiliana nasi kwano; +255714903603  utapata furusa ya kazi yako kuonekana apa

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top