New Video coming soon/Huu ndio ujio mpya wa msani Davidson tofauti na kazi zake za awali

Msani  Gashano David almaarufu kama Davidson kutoka Burundi mwenye makazi yake Afrika Kusini, anatarajia kuachia video mpya nyingine ya nyimbo yake mpya itwayo Good Times akishirikiana na msani mahiri kutoka Afrika Kusini, Young Voice.
Kwasasa wakali hawo wawili wapo Swaziland kwa ku shoot video mpya kama munavyo shuhudia location kwenye picha hizi.

Tuwakumbushe kuwa Davidson  tayari amekwisha unda Kampuni yake binafsi inayo usika na maswala ya kazi zake ya muziki itwayo  Agashano Visuel

Powered by Blogger.