New track [ Papa Fololo_Niko na Wengine]Download.mp3

Muimba taarabu Papa Fololo kutoka Burundi mwenye makazi yake Canada, ameachia kibao chake kipya kabisa itwayo Niko na Wengine.

Tumewasogezeni kazi nyingine ya muimba taarabu mahiri Afrika Mashariki, Papa Fololo, endapo utapendelea kazi zako nawe zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707307
Powered by Blogger.