responsive ads

New track [ Pamy Queen_Signorita RemiX ] download.mp3

Mwanamuziki wa kike Pamy Queen mwaka huu 2016 anazidi kufanya vizuri huku mashabiki wa Burundi Flava wakipenda kazi zake tangu alipo achia nyimbo yake itwayo Naratwaye ambayo inazidi kumtambulisha vizuri na pia nyimbo hiyo ipo kwenye nyimbo 5 bora za Burundi Flava.

mrembo Pamy Queen ameachia nyimbo yake mpya ambayo ameirudilia nyimbo ya Staa BienvFizzo itwayo Signorita, katika studio African Touch chini ya mikono ya producer Soprano on Beat.

Tumewasozegeeni nyimbo hii nzuri sana kuliko Signotita original....

 Endapo utapendelea kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305


middle 300x250
Powered by Blogger.