TANGAZO
Msanii Don Chilo kutoka Burundi mwenyeji wa mkoani Rumonge, ameachia nyimbo yake mpya itwayo Nakupenda, pande za Good Father Studio.

Don Chilo ni msanii chipukizi ambae kwasasa anazidi kufanya vizuri na mashabiki wa Burundi Flava mkoani Rumonge wanakubali kazi zake.
Tuwafaamishe kuwa unaweza kusikiliza kazi zake zingine mbili, Nalinga Nawe na Ile Pesa akimshirikisha M.K Kibase

Endapo utapendelea kazi zako zipatikane hapa, wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top