Msani kutoka Burundi Strogoff ameachia wimbo wake mpya uitwao ''NOJAHE'',wimbo huu ameshirikiana na Double Jay .
Audio ipo chini ya producer Ami Baso ndani ya Swagger Record.
Isikilize na upakue hapa :Nojahe by Strogoff ft Double Jay

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top