Msamalia Danielo amechia wimbo wake mpya uitwao ''Mapenzi Salio''.
Msani huu amezijenga headlines nyingi East Africa kupitia vyibao vyake vyenye miondoko ya bongo fleva.
Ngoma hii ipo chini ya Producer Dj Mapound ndani ya Meme Empire.
Isikilize na Upakue hapa: Mapenzi Salio by Msamalia Danielo

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top