Msani kutoka kwenye Label ya Wakavu CL ,La Vista ameachia kibao chake kipya kiitwacho ''Rapper of the Year''.Kibao hiki kipo chini ya Producer Masterland ndani ya Master Muzik .
Isikilize na upakue hapa:Rapper of the Year by La Vista

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top