Kundi lizima la vijana watatu(BN Keyzo,El Happy & Nattis) Fine Boys Music kutoka Burundi limeachia wimbo wao mpya uitwao ''Imbabazi''.Ngoma hii ipo chini ya Producer Masterland ndani ya Master Muzik Record.
Isikilize na upakue hapa :Imbabazi by Fine Boys Music

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top