New Audio|Emery Sun - Wewe ni Jewe|Download Mp3

Baada ya kuzijenga headlines nyingi kupitia kibao chake ''Ntangere'',Emery Sun a.k.a Romantic Boy ameachia wimbo wake mpya uitwao ''WEWE NI JEWE''(Mimi ni wewe).Ngoma hii ipo chini ya mikono ya Producer Dj Kolly ndani Master Muzik.
Isikilize na upakue hapa:Wewe ni Jewe by Emery Sun
Powered by Blogger.