Baada yakuzijenga headlines nyingi kupitia kibao chake ''Mpikibanza'',Double Jay ameachia wimbo mwingine tena uitwao ''Vyarashitse''.
Ngoma hii ipo chini ya mikono ya Producer Ami Baso ndani ya Swagger Record.
Isikilize na upakue hapa:Vyarashitse by Double Jay

Are you a Musician and need Publicity? for faster music promotion call / whatsapp no; +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top