Msani kutoka Burundi Dj Bain Ten ameachia cover ya wimbo Salome ya Diamond Platnumz ft Raymond.
Cover hiyo yenye iko kwenye lugha ya kirundi ,Dj Bain Ten ameita ''Karita Salome''.Ngoma hii ipo chini ya mikono ya Producer Soprano ndani ya African Touch Muzik .
Wimbo huu umekua habari ya mujini kwenye mitandao yakijami na kwenye vituo vya Radio kama vyote nchini Burundi.
 Usikose kuacha comment yako apo chini.
Isikilize na upakue hapa:Karita Salome(Salome cover kirundi version) by Dj Bain Ten

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top