Msani kutoka Burundi Desire P ameachia wimbo wake mpya uitwao ''Kure y'Amaso''.
Kwenye wimbo huu Desire P ameshirikiana na mkali wa ''Rudi'' mrembo Thity Love.
Wimbo upo chini ya Producer GN ndani GMade10 House Record.
Isikilize na upakue hapa :Kure y'Amaso by Desire P ft Thity Love

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top