TANGAZO
Chris & Junior ndie wasani wenye umri mdogo nchini Burundi.
Baada ya kufanya vizuri na kibao chao ''Ngwino Remix'',Chris & Junior wameachia wimbo wao mpya uitwao ''MURIHEHE''.
Audio ipo chini ya Producer Soprano ndani ya African Touch Muzik Record.
Isikiliza na upakue hapa:Murihehe by Chris & Junior

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

TANGAZO
Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top