Mastaa wa Hip Hop kutoka nchini Burundi wameachia bonge la track liitwalo ''Change''.Wimbo huu umewajumlisha mastaa kama :Prince Mshindi,Fabilove,B-Face,Pauson,Wawa,Magic Soldier a.k.a Kingorongoro,Sniper,K-Jay,Big Zoe na Ptrick Pagio.
Audio ya ngoma hii ipo chini ya Producer Keremey ndani ya Kim Frans Record.
Isikilize na Upakue hapa: Change by Burundi Hip Hop AllStars

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top