New Audio|Arobazz & Lili H - Shiro|Download mp3

Msani kutoka Burundi Arobazz ambae makazi yake ni nchini Kenya mjini Nairobi ,ameachia wimbo wake mpya uitwao ''SHIRO'' ambao ameshirikiana na Lil H.Ngoma hii imetengenezwa na Producer Sulex Touch.
Isikilize na upakue hapa :Shiro by Arobazz & Lil H

Powered by Blogger.