Afande Brother K ni askari police ambae kwasasa amezijenga headlines nyingi kupitia kibao chake kipya ''I Love You'' alichoshirikiana na msani maharufu nchini Burundi Lolilo.
Sio jambo la kwaida kushuhudia askari Police akichana Hip Hop kama Afande Brother K afrika mashariki.
Ngoma hii ipo chini ya Producer John B ndani ya Good Father Music.
Isikilize na upakue hapa:I Love You by Afande Brother K ft Lolilo

kama wewe ni msanii na ungependa kazi yako ionekane kwenye website hii basi wasiliana nasi kwa namba +255714903603

Facebook Blogger Plugin by Harocq

 
Top