Kundi nzima la Team Inzuki inayo undwa na wasani kibao yenye makazi yake nchini Kenya, imeachia nyimbo yao mpya itwayo Shiro chini ya mikono ya producer Sulex Touch.

Tuwakumbushe kuwa nyimbo hii imekamilishwa na vijana wawili vinara wa kundi Team Inzuki, Arobazz na Lil H ambao ndio wasanii wanao zidi kufanya vizuri katika kundi hii upande wa muziki.

Kwa mara yako ya kwanza ebu sikiliza na u download nyimbo nzuri ya kundi nzima Team Inzuki .... endapo utapendelea nawe kazi zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305

Like Page Yetu hapa chini

Facebook Blogger Plugin by Harocq

Online members

 
Top