New Audio |Pablo Moe ft Super Huff - Chouchou|Download Mp3

Baada yakuzijenga headlines nyingi kupitia video ya kibao chake ''I Get You'' akishirikiana na Millz,msani Pablo Moe ameachia wimbo mwingine tena ''CHOUCHOU''.Ngoma hii ameshirikiana na mkali wa R&B Super Huff.
Audio ipo chini ya producer John B ndani ya Good Father Music Record.
Sikiliza na upakue hapa:Chouchou by Pablo Moe ft Super Huff

Powered by Blogger.