New Audio [ P-Cool ft Eduin Trond _ Zali ] Download.mp3


Tumewasogeezeni hapa kwa mara ya kwanza nyimbo mpya ya P-Cool akishirikiana Eduin Trond, track imechukuwa jina la Zali chini ya maujanja ya Producer Endo Mike the Machine.

Ebu uisikilize hapa na endapo utapendelea nawe kzai zako zipatikane hapa wasiliana nasi kwenye namba +257 75707305
Powered by Blogger.